JKT Queens Wanapeta Ligi ya Wanawake

JKT Queens Wanapeta Ligi ya Wanawake

MABINGWA watetezi wa kombe la Ligi ya Wanawake, JKT Queens jana katika Uwanja wa Nyamagana waliifunga timu ya Marsh mabao 8-0 kwenye mchezo wa ligi maarufu kama Serengeti Lite Women’s Premier League. Wakati wao wakifanya hivyo mahasimu wao Simba Queens wao...