Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

Kikosi cha timu ya Taifa ya vijana chini ya miaka 23 Kilimanjaro Warriors kinaendelea na mazoezi kwenye uwanja wa Karume chini ya walimu Kim Paulsen na Oscar Mirambo.

Kikosi hicho cha wachezaji 35 kitafanyiwa mchujo na kubakia na wachezaji 25 watakaounda kikosi cha Olympic.

Kambi hiyo iliyoanza Novemba 5,2017 itachukuwa siku 10 mpaka Novemba 16,2017.

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.