Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), inatarajiwa kuendelea leo Ijumaa Oktoba 20, 2017 kwa mchezo mmoja utakaokutanisha timu za Mwadui na Kagera Sugar kwenye Uwanja wa Mwadui mkoani Shinyanga. Timu hizo zinakutana katika Raundi ya Saba katika duru hili la kwanza la VPL ambalo mbali ya Kampuni ya Simu ya Vodacom – wadhamini wakuu, 

Continue Reading

Raundi ya Sita ya Ligi Daraja la Kwanza (FDL), itaendelea  leo Ijumaa Oktoba 20, 2017 kwa mechi za makundi yote matatu. Katika Kundi ‘A’, Mvuvumwa FC ya Kigoma, watacheza na Mgambo JKT katika Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Mvuvumwa anatumia Kanuni ya 6 (1) na (2) kuhamishia mechi zake za nyumbani Uwanja wa Uhuru, 

Continue Reading

Makocha 28 wanawake kutoka vyuo mbalimbali vya Maendeleo ya Jamii nchini leo Oktoba 17, 2017 wamehitimu kozi fupi ya ukocha katika kozi iliyoratibiwa kwa pamoja kati ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Taasisi ya Karibu Tanzania (KTO). Kozi hiyo ya siku mbili ambayo ni ya pili kufanyika kwa makocha hao, iliyofanyika kwenye 

Continue Reading

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia amempongeza Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Ligi Kuu, Clement Andrew Sanga wa Young Africans kwa kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa TPLB baada ya kupata kura 10 kati ya 16. Katika  katika uchaguzi uliofanyika leo Oktoba 15, 2017 kwenye Ukumbi wa Uwanja wa Taifa, Dar 

Continue Reading

Ratiba ya Uchaguzi wa Kamati ya Uongozi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) utakaofanyika kesho Jumapili, Oktoba 15 mwaka huu, itaanza saa 2.00 asubuhi hadi saa 7.15 mchana. Saa 2.00 asubuhi, Wajumbe na viongozi wengine watawasili Ukumbi wa mikutano wa Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam, kabla ya mkutano huo kufunguliwa saa 3.00 

Continue Reading

Baada ya mtihani wa utimamu wa mwili kwa waamuzi wenye beji za FIFA na wale wa Daraja la Kwanza kufanyika Agosti, 2017, sasa ni zamu ya waamuzi wa madaraja ya Tatu na Pili. Waamuzi wa madaraja ya Tatu na Pili kuanzia kesho Alhamisi Oktoba 12, 2017 watakuwa na mitihani hiyo ya utimamu wa mwili katika 

Continue Reading

Uchaguzi wa Kamati ya Uongozi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) unafanyika Jumapili, Oktoba 15 mwaka huu kwenye ukumbi wa mikutano wa Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam. Wagombea saba wamepitishwa kuwania uongozi wa TPLB baada ya Kamati ya sasa kumaliza muda wote. Kamati mpya ya Uongozi itakayochaguliwa katika uchaguzi huo unaosimamiwa na 

Continue Reading

Kamati ya Bodi ya Ligi ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi imemuondoa Mwamuzi Msaidizi Grace Wamara kuchezesha Ligi Kuu ya Vodacom kwa kukosa umakini na kutomsaidia Mwamuzi, hivyo kusababisha akubali bao lenye utata la Stand United dhidi ya Mbeya City. Wamara alikuwa Mwamuzi Msaidizi Namba Mbili kwenye mechi hiyo namba 31 iliyofanyika Septemba 24 mwaka 

Continue Reading

Kocha wa Toto Africans, Almasi Moshi amezuiwa kukaa kwenye benchi la timu yake kutokana na kutokidhi matakwa ya Kanuni ya 72(3) ya Ligi Daraja la Kwanza kuhusu benchi la ufundi. Kwa mujibu wa Kanuni hiyo, Kocha Mkuu wa timu ya Ligi Daraja la Kwanza anatakiwa kuwa na Leseni ya chini kuanzia Daraja C ya Shirikisho 

Continue Reading

Malalamiko ya Pepsi dhidi ya Madini kuwa timu hiyo ilimtumia mchezaji Shabani Imamu kwenye mechi yao ya Ligi Daraja la Pili (SDL) iliyochezwa Septemba 30 mwaka huu Uwanja wa  Sheikh Kaluta Amri Abeid jijini wakati akiwa na adhabu ya kutumikia kadi nyekundu yamekataliwa. Kamati imebaini kuwa mchezaji huyo alishatumikia adhabu ya kukosa mechi moja wakati 

Continue Reading