Baada ya mtihani wa utimamu wa mwili kwa waamuzi wenye beji za FIFA na wale wa Daraja la Kwanza kufanyika Agosti, 2017, sasa ni zamu ya waamuzi wa madaraja ya Tatu na Pili. Waamuzi wa madaraja ya Tatu na Pili kuanzia kesho Alhamisi Oktoba 12, 2017 watakuwa na mitihani hiyo ya utimamu wa mwili katika 

Continue Reading

Uchaguzi wa Kamati ya Uongozi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) unafanyika Jumapili, Oktoba 15 mwaka huu kwenye ukumbi wa mikutano wa Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam. Wagombea saba wamepitishwa kuwania uongozi wa TPLB baada ya Kamati ya sasa kumaliza muda wote. Kamati mpya ya Uongozi itakayochaguliwa katika uchaguzi huo unaosimamiwa na 

Continue Reading

Kamati ya Bodi ya Ligi ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi imemuondoa Mwamuzi Msaidizi Grace Wamara kuchezesha Ligi Kuu ya Vodacom kwa kukosa umakini na kutomsaidia Mwamuzi, hivyo kusababisha akubali bao lenye utata la Stand United dhidi ya Mbeya City. Wamara alikuwa Mwamuzi Msaidizi Namba Mbili kwenye mechi hiyo namba 31 iliyofanyika Septemba 24 mwaka 

Continue Reading

Kocha wa Toto Africans, Almasi Moshi amezuiwa kukaa kwenye benchi la timu yake kutokana na kutokidhi matakwa ya Kanuni ya 72(3) ya Ligi Daraja la Kwanza kuhusu benchi la ufundi. Kwa mujibu wa Kanuni hiyo, Kocha Mkuu wa timu ya Ligi Daraja la Kwanza anatakiwa kuwa na Leseni ya chini kuanzia Daraja C ya Shirikisho 

Continue Reading

Malalamiko ya Pepsi dhidi ya Madini kuwa timu hiyo ilimtumia mchezaji Shabani Imamu kwenye mechi yao ya Ligi Daraja la Pili (SDL) iliyochezwa Septemba 30 mwaka huu Uwanja wa  Sheikh Kaluta Amri Abeid jijini wakati akiwa na adhabu ya kutumikia kadi nyekundu yamekataliwa. Kamati imebaini kuwa mchezaji huyo alishatumikia adhabu ya kukosa mechi moja wakati 

Continue Reading

Kamati ya Bodi ya Ligi ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi katika kikao chake kilichopita ilipitia taarifa na matukio mbalimbali ya Ligi Kuu ya Vodacom, Ligi Daraja la Kwanza na Ligi Daraja la Pili msimu wa 2017/2018 zinazoendelea hivi sasa. Katika taarifa hizo imebainika kuwa mchezaji wako John Baraka jezi namba 2 alioneshwa kadi nyekundu 

Continue Reading

Kamati ya Bodi ya Ligi ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi katika kikao chake kilichopita ilipitia taarifa na matukio mbalimbali ya Ligi Kuu ya Vodacom, Ligi Daraja la Kwanza na Ligi Daraja la Pili msimu wa 2017/2018 zinazoendelea hivi sasa. Katika taarifa hizo imebainika kuwa timu yako haikuhudhuria katika kikao cha maandalizi (pre match meeting), 

Continue Reading

Kamati ya Bodi ya Ligi ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi katika kikao chake kilichopita ilipitia taarifa na matukio mbalimbali ya Ligi Kuu ya Vodacom, Ligi Daraja la Kwanza na Ligi Daraja la Pili msimu wa 2017/2018 zinazoendelea hivi sasa. Katika taarifa hizo imebainika kuwa timu yako iliwakilishwa na viongozi watatu tu katika kikao cha 

Continue Reading

Kamati ya Bodi ya Ligi ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi katika kikao chake kilichopita ilipitia taarifa na matukio mbalimbali ya Ligi Kuu ya Vodacom, Ligi Daraja la Kwanza na Ligi Daraja la Pili msimu wa 2017/2018 zinazoendelea hivi sasa. Katika taarifa hizo imebainika kuwa timu yako haikuhudhuria katika kikao cha maandalizi (pre match meeting) 

Continue Reading

Wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dk. John Pombe Magufuli leo Jumatatu Oktoba 9, 2017 akiliapisha Baraza jipya la mawaziri, – Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, ametuma salamu za pongezi kwa mawaziri wote wapya. Mwishoni mwa wiki iliyopita, Mhe. Rais Dk. John Pombe Magufuli alifanya tena 

Continue Reading