Chuo cha IFM wametwaa ubingwa wa Ligi ya Vyuo vya Elimu ya Juu mkoa wa Dar Es Salaam baada ya kuishinda Chuo cha Ardhi kwa magoli 6-4 kwenye mchezo wa fainali iliyochezwa kwenye Ufukwe wa Coco Jumapili Januari 7, 2018. Kufika fainali IFM ilicheza na Chuo cha TIA kwenye mchezo wa nusu fainali ambao walishinda 

Continue Reading

Nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” Mbwana Samatta ameanza mazoezi na timu yake ya KRC Genk ya Ubelgiji baada ya kukaa nje ya Uwanja kwa miezi miwili kufuatia kuumia goti wakati timu yake ikicheza na Lokeren kwenye Ligi Kuu ya Ubelgiji mwezi Novemba mwaka jana. Kwenye mchezo huo dhidi ya Lokeren Samatta 

Continue Reading

Kozi ya awali ya Ukocha kwa Walimu wa Shule za Msingi na Sekondari imefungwa leo Jumamosi Januari 6, 2018 kwenye Makao Makuu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF). Kozi hiyo ya siku Kumi(10) iliyofanyika katika vituo viwili vya Karume na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ilishirikisha washiriki Sitini na Tatu(63). Akifunga kozi hiyo 

Continue Reading

Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi (Saa 72) iliyokutana jana Januari 4, 2018 imejadili mechi mbalimbali za Ligi Kuu (VPL) Daraja la Kwanza (FDL) na Daraja la Pili (SDL). LIGI KUU YA VODACOM Mechi namba 72 (Mbeya City 0 vs Simba 1).Kamishna wa mechi hiyo Billy Mwilima amepewa Onyo Kali kwa kuruhusu mchezaji Hamisi 

Continue Reading

Kikao cha kamati ya Mashindano kilichokutana Desemba 29, 2017 kwenye makao makuu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kujadili mchezo namba 31 na 32 uliohusisha timu za Abajalo FC dhidi ya Tanzania Prisons ya Mbeya na ule kati ya Mvuvumwa na JKT Ruvu katika Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) iliyokuwa ifanyike Desemba 

Continue Reading

Kamati ya nidhamu iliyokutana Januari 1, 2018 ilipitia ripoti mbalimbali za mchezo kati ya Kagera Sugar na Tanzania Prisons uliochezwa Uwanja wa Kaitaba Novemba 2, 2017 na ule kati ya Azam Fc na Mbeya City uliochezwa Uwanja wa Chamazi Oktoba 27, 2017. Kwenye mchezo kati ya Kagera Sugar na Tanzania Prisons,Meneja wa timu ya Tanzania 

Continue Reading

Raisi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF) Ndugu Wallace Karia amesema yeyote atakayebainika kufanya vitendo visivyo vya kiungwana kwenye mechi za Ligi Daraja la Kwanza inayoendelea TFF haitasita kuwachukulia hatua. Rais Karia alisema yapo malalamiko ambayo yanafanyiwa kazi yanayohusu michezo iliyohusisha Dodoma Fc vs Alliance na Biashara Mara vs Pamba ya Mwanza ambapo utaratibu 

Continue Reading