Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) mzunguko wa 12 katika msimu wa 2017/2018 inaendelea wikiendi hii baada ya kusimama kwa wiki tatu kupisha michuano ya CECAFA huko Kenya na mechi za raundi ya pili ya Azam Sports Federation Cup (ASFC). VPL ambayo wadhamini wenza ni Kituo cha Televisheni cha Azam (Azam Tv) na KCB 

Continue Reading

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) lipo kwenye mkakati madhubuti wa kuyarasimisha mashindano yasiyo rasmi ili kuweza kutambuliwa. Kumekuwa na upotoshaji unaofanywa kwa makusudi kuwa Rais wa TFF Wallace Karia amefuta mashindano yote ya aina hiyo taarifa ambazo sio sahihi alichokisema Rais Karia wakati akizungumza na Wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari ni kuwa 

Continue Reading

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) inaendelea kusisitiza utaratibu kwa Waandishi wa Habari za Michezo wa namna ya kuingia kuripoti mechi za fainali za kombe la Dunia zitakazofanyika Russia mwakani. Mwandishi anayehitaji kuripoti fainali hizo awasiliane moja kwa moja na Idara ya Habari na Mawasiliano TFF ili kuweza kupata kadi hizo maalumu (Accreditation) ambazo 

Continue Reading

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF kesho anatarajia kuzindua rasmi kozi ya ukocha kwa Walimu wa Shule za Msingi na Sekondari iliyoanza leo Desemba 28, 2017. Kozi hiyo iliyoandaliwa kwa ushirikiano wa TFF na Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam itakayochukuwa muda wa siku 10 itafanyika kwenye vituo viwili 

Continue Reading

Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia atakutana na Wahariri wa Habari za Michezo Jumatano Desemba 27,2017. Pamoja na mambo mengine Rais Karia atazungumzia miezi minne tokea uongozi uliopo umeingia madarakani pamoja na vitu vilivyofanyika katika muda huo. Aidha Rais Karia ataelezea changamoto mbalimbali zilizopo TFF pamoja na njia gani inatumika/Itatumika 

Continue Reading

Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) linavikumbusha vyombo vya Habari kuhusu utaratibu wa kadi maalumu za kuingilia Uwanjani kwa waandishi wa habari(accreditation) katika mashindano ya kombe la Dunia yatakayofanyika Russia mwakani. Utaratibu huo uko tayari ambao unawataka waandishi kujaza kupitia link maalumu inayosimamiwa na Idara ya habari na mawasiliano ya TFF. Kwa mwana habari 

Continue Reading

Jitihada za Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) za kuwasiliana na Mwendeshaji wa mfumo huo waliokasimiwa na Shirikisho la soka la Kimataifa (FIFA) walioko Tunis, Tunisia ili kuziwezesha timu kufanya usajili, zimefanikiwa. Mtandao huo kwa sasa upo wazi. Hivyo TFF inazitaka timu zote sasa kukamilisha usajili kuanzia pale walipokwama. Timu zinatakiwa kusajili kabla ya 

Continue Reading

Hatua ya Pili ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam (Azam Sports Federation Cup – ASFC), inaanza rasmi kesho Jumatano Desemba 20, 2017 kwa michezo saba kuchezwa katika viwanja tofauti. Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), michezo ya kesho Desemba 20, mwaka huu itakutanisha timu za JKT 

Continue Reading

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limesikitishwa kwa hitilafu iliyotokea siku ya mwisho ya usajili usiku wa Desemba 15, mwaka huu kwa kufeli kwa mtandao wa mfumo wa usajili hali iliyosababisha vilabu kushindwa kukamilisha usajili kwa wakati kupitia mfumo huo. TFF inaendelea na jitihada za kuwasiliana na Mwendeshaji wa mfumo huo waliokasimiwa na Shirikisho 

Continue Reading