Kocha Mkuu wa Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’, Ammy Conrad Ninje amepanga kesho Jumanne Desemba 5, 2017 kuanza kufanyia kazi upungufu ulioonekana kwenye mchezo dhidi ya Libya  uliofanyika Jumapili Desemba 3, mwaka huu. Katika mchezo huo uliofanyika Uwanja wa Kenyatta ulioko Machakos hapa nchini Kenya, Tanzania Bara ilipata sare katika safari ya kuwania Kombe la Cecafa 

Continue Reading

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limetoa mipira kwa ajili ya kufundishia kozi ya ukocha ngazi ya awali kwa Walimu wa Shule za Sekondari pamoja na Shule za Msingi sambamba na Ofisa Polisi inayoendeshwa na TFF katika Shule ya Sekondari Kyela. Washiriki wako 75, kati yao wanawake ni 13. Mipira hiyo ilitolewa na Mjumbe 

Continue Reading

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia ameshinda nafasi ya Ujumbe wa Kamati ya Utendaji katika Baraza la Soka la Afrika Mashariki na Kati (CECAFA). Katika uchaguzi huo uliofanyika leo Desemba 2, 2017 jijini Nairobi, Kenya Rais Karia alipita bila kupingwa kuwa Mjumbe CECAFA. Awali kinyanganyiro hicho kiliwavutia wanachama wanane kabla 

Continue Reading

Kilimanjaro Stars – Timu ya Taifa ya Tanzania Bara kesho Jumapili Desemba 3, 2017 itacheza na Libya katika mchezo wa pili wa michuano ya kuwania Kombe la CECAFA – linaloandaliwa na Baraza la Soka la Afrika Mashariki. Mchezo huo utakaofanyika Uwanja wa Machakos, utaanza saa 10:00 jioni (1600h) mara baada ya mchezo wa kwanza kati 

Continue Reading

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe amewaambia wachezaji wa timu ya mpira wa miguu ya Tanzania Bara, ‘Kilimanjaro Stars’, kuwa Tanzania inahitaji ushindi katika michuano ya Kombe la Baraza la Soka la Afrika Mashariki (CECAFA). Dk. Mwakyembe aliyesema hayo jana Novemba 29, usiku wakati wa hafla ya chakula cha jioni ambako 

Continue Reading

Ukiacha Kamati Kuu ya kuratibu michuano ya fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON U17/2019) kwa vijana wenye umri wa chini ya miaka 17, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limefanya uteuzi mwingine. Uteuzi huo umeegemea zaidi kwa Wajumbe wa Kamati Kuu ya Maandalizi (LOC) wakiwamo viongozi wakuu wa TFF na wanafamilia wengine 

Continue Reading

Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kwa sasa imesimama kwa takribani majuma mawili. Sababu kubwa ya kusimama kwa ligi hiyo ni kupisha Kombe la Chalenji la CECAFA – michuano inayoratibiwa na Baraza la Soka kwa nchi za Afrika Mashariki (CECAFA). Michuano ya CECAFA itafikia ukomo Desemba 17, mwaka huu na Shirikisho la Mpira wa Miguu 

Continue Reading

Baraza la Mpira wa Miguu la nchi za Afrika Mashariki, limeteua Watanzania wanne (4), kuendesha michuano ya kuwania Kombe la Chalenji inayoandaliwa na CECAFA. Watanzania hao ni Alhaji Ahmed Mgoyi aliyeteuliwa katika Idara ya Mashindano huko CECAFA wakati mwingine ni Sunday Kayuni ambaye ameteuliwa katika Idara ya Ufundi. Mgoyi ameteuliwa kutokana na uzoefu na uwezo 

Continue Reading

Kocha Mkuu wa timu ya mpira wa miguu ya Tanzania Bara, ‘Kilimanjaro Stars’, Ammy Conrad Ninje, ametaja kikosi cha wachezaji 20 kitakachoshiriki michuano ya Kombe la Chalenji mwaka huu wa 2017. Ninje – Kocha wa Daraja ‘A’ la Shirikisho la Mpira wa Miguu Ulaya (UEFA), ametaja kikosi hicho leo Jumamosi Novemba 18, 2017 kwenye Ukumbi 

Continue Reading

Ammy Conrad Ninje, ametangazwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwamba ndiye atakuwa Kocha Mkuu wa timu ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ itakayoshiriki michuano ya Kombe la Chalenji mwaka huu wa 2017. Katika michuano hiyo inayotarajiwa kuanza Desemba 3, mwaka huu, Kilimanjaro Stars imepangwa Kundi ‘A’ pamoja wenyeji Kenya, Rwanda na Libya ambayo 

Continue Reading