SHIRIKISHO la Soka la Tanzania (TFF) kupitia kamati yake ya ufundi limeandaa Tamasha la michezola (Grass Roots) kwa Wanafunzi wa Shule za msingi na Sekondari.

 

Tamasha hilo ambalo nilapili limefanyi limefanyika jana wilaya ya Temeke katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.

 

Shule zilizo shiriki Jana ni Tatu ambazo ni Chang’ombe Mazoezi walitoa Watoto 50 wa msingi na Yemen 50 kwa Shule za Sekondari ni Minazini,Tungi,Mizimbini na Makurumla.

 

 

Akizungumza Msimamizi wa Tamasha hilo Raymond Gweba alisema Shirikisho linaendana utaratibu wa kuwafuata Watoto walipo kuwapa fursa ya kucheza mpira wakiwa nawalimu wao ambao tayari walishapatiwa mafunzo.

 

Alisema fursa hiyo yamichezo nikwa Watoto wote wakike nawakiume na tulianza karume kwa Shule za Private muda mrefu kidogo nabaadae tukafanya kwenye Uwaja wa JMK Park ambayo ilikuwa Pana zaidi.

 

Alisema wamekuja Temeke na wamefanikiwa kupata Shule mbili ambazo mi Yemen na Chang’ombe ambao wamemaliza mitihani Shule zingine zipo kwenye ratiba za mitihani lakini pia ipo Shule ya Mbezi Beach wao wamekuja kama wageni waalikwa kwenye upande wa Football.

 

” Wapo Wanafunzi wa Sekondari ambao wenyewe wamekuja kwaajili ya Beach Soka na zoezi hili litaendelea Hadi tar 8 Mwezi wa 12,” alisema

 

 

Alisema baada ya kumaliza katika wilaya ya Temeke watahamia Ubungo itakuwa nimuendelezo hata katika wilaya zingine kulingana namuda

 

Gweba alisema wanaendelea nautaratibu kuangalia namna yakuzifikia Shule zote na haita ishia hapo kwani ratiba hiyo kwa baadae itakuwa niratiba inayojulikaa mashuleni nawatoto watakuwa wanaruhusiwa kushiriki Tamasha hilo linapofika lakini hata kuandaa mashindano ambayo yatawahusu.