Wachezaji walioitwa kwenye Kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” kujiandaa na mchezo wa CHAN dhidi ya Kenya wameanza kuripoti Kambini leo.
Taifa Stars inayodhaminiwa na Bia ya Serengeti itapiga Kambi yake kwenye Hoteli ya APC Iliyopo Mbweni,Dar es Salaam.
Kikosi hicho kitakua chini ya Kocha wa muda Etiene Ndairagije akisaidiwa na Juma Mgunda na Suleiman Matola,Meneja Nadir Haroub.
Wachezaji walioitwa
1.Aishi Manula (Simba)
2.Kaseja Juma (KMC)
3.Metacha Mnata (Young Africans)
4.Paul Godfrey (Young Africans)
5.Boniface Maganga(KMC)
6.Gadiel Michael (Simba)
7.Paul Ngalema (Namungo FC).
8.David Mwantika (Azam Fc)
9.Iddi Mobi(Polisi Tanzania)
10..Yondani Kelvin (Young Africans)
11.Erasto Nyoni (Simba)
12.Jonas Mkude(Simba)
13.Abdulaziz Makame (Young Africans)
14.Mudathir Yahaya (Azam)
15.Ibrahim Ajib (Simba)
16.Salim Aye (KMC)
17.Saloum Aboubakar (Azam)
18.Masoud Abdallah (Azam)
19.John Bocco (Simba)
20.Ayoub Lyanga (Coastal Union)
21.Kelvin John(U17)
22.Feisal Toto (Young Africans)
23.Frank Domayo (Azam Fc)
24.Hassan Dilunga (Simba)
25.Iddy Nado (Azam FC)
26.Shaban Idd Chilunda(Azam FC)
Mchezo wa Kwanza utachezwa Julai 28,2019 Uwanja wa Taifa saa 10 Jioni na marudiano itakua Agosti 4,2019 Nairobi,Kenya.