Kaimu Kocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” Ndairagije Etienne ametaja Kikosi cha Wachezaji 27 watakaoingia Kambini kujiandaa na mchezo wa kutafuta nafasi ya kucheza Kombe la Dunia dhidi ya Burundi.

Mchezo wa Kwanza wa Taifa Stars inayodhaminiwa na Bia ya Serengeti utachezwa ugenini nchini Burundi Septemba 4,2019 na marudiano itakua Septemba 8,2019 Uwanja wa Taifa.

Kikosi kilichotajwa

Juma Kaseja (KMC)
Metacha Mnata (Young Africans)
Beno Kakolanya (Simba)

Shomari Kapombe (Simba)
Hassan Kessy (Nkana,ZAMBIA)

Gadiel Michael (Simba)
Mohamed Hussein (Simba)

Kelvin Yondani (Young Africans)
Idd Moby (Polisi Tz)

Erasto Nyoni (Simba)
Abdi Banda (Highlands,Afrika Kusini)

Jonas Mkude (Simba)
Baraka Majogoro (Polisi Tz)

Hassan Dilunga (Simba SC)

Mohamed Issa (Young Africans)

Abdul Aziz Makame (Young Africans)

Himid Mao (ENPPI,Misri)
Ally N’ganzi (Minnesota,USA)

Abubakar Salum(Azam FC)
Frank Domayo (Azam FC)

Simon Msuva (Al Jadida,Morocco)
Eliuter Mpepo (Budco,Zambia)

Mbwana Samatta (KRC Genk,Belgium)
Abdillahie Yussuf (Blackpool,England)

Farid Mussa (Tenerife,Hispania)
Iddy Nado (Azam FC)

Kevin John (U17)
Ayoub Lyanga (Coastal Union)

Shaaban Chilunda (Azam FC)
Boniface Maganga (KMC)