Kaimu Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa “Taifa Stars” Ettiene Ndairagije ametaja Wachezaji 25 wanaoingia Kambini kujiandaa na mchezo wa CHAN dhidi ya Sudan utakaochezwa wiki hii.

Kikosi kilichotajwa :

Juma Kaseja -KMC
Metacha Mnata -Young Africans
Said Kipao-Kagera
Haruna Shamte -Simba
Boniface Maganga-KMC
Gadiel Michael-Simba
Mohamed Hussein-Simba
Kelvin Yondan-Young Africans
Erasto Nyoni-Simba
Iddy Mobi-Polisi Tz
Bakari Nondo-Coastal Union
Jonas Mkude-Simba
Baraka Majogoro-Polisi Tanzania
Mohamed Issa-Young Africans
Idd Suleiman-Azam FC
Mudathir Yahya-Azam FC
Salum Abubakar-Azam FC
Frank Domayo-Azam FC
Muzamil Yassin-Simba
Shaaban Idd-Azam FC
Ayoub Lyanga-Coastal Union
Abdul Aziz Makame-Young Africans
Hassan Dilunga-Simba
Miraji Athuman-Simba
Feisal Salum-Young Africans