Kikao cha maandalizi ya Fainali za Ligi ya Mabingwa wa Mikoa RCL kikiendelea katika ofisi za Chama cha Soka Mkoa wa Kigoma kikiongozwa na Mwenyekiti wa Mashindano TFF, Ahmed Mgoyi na Msimamizi wa Kituo cha Kigoma Issa Bukuku
Kikao cha maandalizi ya Fainali za Ligi ya Mabingwa wa Mikoa RCL
by tff admin | Jul 17, 2020 | Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL), News