by tff admin | Jan 11, 2025 | News, The Tanzanite, Twiga Stars, Women's Premier League
Chabruma: Tuna kiu ya kutwaa ubingwa mashindano ya GIFT Kocha wa timu ya JKT Queens U-17 Esther Chabruma amesema ana kiu ya kutwaa ubingwa wa mashindano ya CAF ya wasichana chini ya miaka 17 Girls Integrated Football Tournament ‘GIFT’ yanayoendelea...
by tff admin | Jan 4, 2025 | News
GIFT Yapangwa Kwenye Makundi Mawili Mashindano mapya ya CAF ya wasichana U17 ya Integrated Football Tournament (GIFT) yaliyotambulishwa hivi karibuni Afrika, yanayotarajia kuanza kutimua vumbi kwa mara ya kwanza mwenyeji akiwa Tanzani kuanzia Januari 7-18 kwenye...
by tff admin | Jan 3, 2025 | News
Tanzania Mwenyeji Integrated Football Tournament (GIFT) Tanzania imepangwa kuwa mwenyeji mashindano ya kwanza ya CAF ya wasichana U17 ya Integrated Football Tournament (GIFT) yanayotarajia kufanyika kuanzia Januari 7-18, 2025 Dar es salaam, Tanzania. Mashindano hayo...
by tff admin | Dec 4, 2024 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
TFF Yaipiga Msasa Simba SC Masuala ya Uadilifu Shirikisho la Mpira wa Miguu...
by tff admin | Nov 12, 2024 | News, Referees
TFF yaendesha kozi ya kwanza ya VAR kwa waamuzi Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) limeendesha semina ya kwanza ya teknolojia ya video inayomsaidia mwamuzi kufanya maamuzi kiwanjani (VAR- Video Assistant Referee) inayofanyika katika ukumbi wa King Jada, Dar...