by tff admin | Nov 19, 2023 | News
Kaimu Balozi Nagunwa: Tushinde tuliheshimishe Taifa Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Nigeria Bi Judica Nagunwa amewataka wachezaji wa timu ya Taifa ya wanawake chini ya miaka 20 ‘Tanzanite Queens’ kupambana kufa kupona katika mchezo wa mkondo wa pili wa...
by tff admin | Nov 18, 2023 | News
Kocha Shime: wachezaji wako tayari kuikabili Nigeria Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya wanawake chini ya miaka 20 ‘Tanzanite Queens’ Bakari Shime amesema kikosi chake kipo tayari kuikabili timu ya Nigeria katika mchezo wa mkondo wa pili wa kufuzu Kombe la...
by tff admin | Nov 16, 2023 | Beach Soccer, News
Makocha Soka la Ufukweni Kunolewa kwa Siku Tano TFF Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF linaendesha kozi ya siku tano maalumu kwa makocha wa mpira wa miguu soka la ufukweni inayojumuisha makocha mbalimbali kwa lengo la kuwaongezea maarifa yatakayo pelekea...
by tff admin | Nov 16, 2023 | News, The Tanzanite
Tanzania, Nigeria zatoshana nguvu Azam Complex, Chamazi Timu ya Taifa ya wanawake chini ya umri wa miaka 20 ‘Tanzanite Queens’ Leo Novemba 12, 2023 imetoka sare ya goli 1-1 dhidi ya timu ya Nigeria katika mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia uliochezwa katika...
by tff admin | Nov 7, 2023 | News, Referees
Semina ya Wakufunzi wa Waamuzi Yafunguliwa Rasmi Dar Semina maalumu ya kuwaandaa wakufunzi watakao tumika kutoa mafunzo kwa waamuzi imefunguliwa rasmi Novemba 06, 2023 Dar es Salaam na Mwenyekiti wa mashindano Tanzania ambaye pia ni mjumbe wa Kamati tendaji TFF Khalid...