by tff admin | Nov 1, 2023 | News, Twiga Stars
Twiga Stars yatinga hatua ya tatu kufuzu Olimpiki Timu ya Taifa ya wanawake ‘Twiga Stars’ imefanikiwa kutinga hatua ya tatu ya kufuzu mashindano ya Olimpiki baada ya kuifunga Botswana goli 1-0 katika mchezo wa marudiano uliochezwa katika uwanja wa Taifa...
by tff admin | Oct 30, 2023 | News, Twiga Stars
kocha Shime: “Haitakuwa mechi rahisi, Ila tumejipangaa kupata matokeo” Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya wanawake Twiga Stars Bakari Shime amesema mchezo wa marudiano wa kufuzu Olimpiki dhidi ya Botswana hautakuwa mchezo rahisi lakini kikosi chake...
by tff admin | Oct 28, 2023 | News
Twiga Stars yawasili Botswana Timu ya Taifa ya Wanawake Twiga Stars Leo Oktoba 28,2023 imewasili nchini Botswana tayari kwa mchezo wa marudiano wa kufuzu Olimpiki dhidi ya Botswana utakaochezwa Oktoba 31, 2023 katika uwanja wa taifa, Gaborone (Botswana). Akizungumza...
by tff admin | Oct 27, 2023 | News
Twiga Stars yaichapa Botswana goli 2-0 Azam Complex Timu ya Taifa ya Wanawake ‘Twiga Stars’ imeichapa timu ya Botswana goli 2-0 katika mchezo wa kufuzu kushiriki mashindano ya Olimpiki uliochezwa katika uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam. Mchezo huo wa...
by tff admin | Oct 21, 2023 | News
Rais wa FIFA na Rais wa CAF Kuweka Jiwe la Msingi TFF Kigamboni Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani(FIFA) Gianni Infantino pamoja na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika CAF Patrice Motsepe wanataraji kuweka jiwe la msingi kituo cha ufundi cha TFF...