by tff admin | Oct 12, 2023 | News
Tanzanite Queens Kukutana na Nigeria raundi ya tatu kufuzu Kombe la Dunia Timu ya Taifa ya wanawake chini ya umri wa miaka 20 ‘Tanzanite’ imefanikiwa kusonga mbele katika raundi ya tatu ya kufuzu kombe la Dunia baada ya kuchapa timu ya Djibouti goli 7-0...
by tff admin | Sep 27, 2023 | News
TANZANIA, KENYA NA UGANDA KUWA MWENYEJI AFCON 2027 Habari njema kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF)limetangaza rasmi kuwa nchi za tatu za Ukanda wa Afrika Mashariki; Tanzania, Kenya na Uganda zitakuwa wenyeji wa Afcon 2027. Taarifa hiyo imetolewa rasmi...
by tff admin | Sep 9, 2023 | News, Taifa Stars
Taifa Stars Yafuzu AFCON Mbele ya Miamba Algeria, Yavuna Milioni 500 za Samia Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” imefanikiwa kufuzu kushiriki Michuano Mikubwa ya AFCON baada ya kuitunishia misuli timu ya Taifa ya Algeria katika mchezo uliopigwa...
by tff admin | Aug 16, 2023 | Beach Soccer, News
Bashley Express Air cargo mdhamini mpya ligi kuu ya soka la ufukweni Kampuni ya usafirishaji wa mizigo Bashley Express Air cargo imekuwa kampuni ya kwanza kutoa udhamini kwa ligi kuu ya soka la ufukweni tangu ilipoanza kuchezwa mwaka 2016. Udhamini huo utadumu kwa...
by tff admin | Aug 14, 2023 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Simba Bingwa Ngao ya Jamii Timu ya Simba SC imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Kombe la Ngao ya Jamii baada ya kupata ushindi kwenye mchezo wa fainali dhidi ya Young Africans uliopigwa Agosti 13, 2023 majira ya saa 1:00 usiku kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani. Mchezo huo...