TFF NBC Mitano Tena

TFF NBC Mitano Tena

TFF NBC Mitano Tena Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF limesaini mkataba mwingine wa Bilioni 32.56 kwa miaka mitano na benki ya NBC Agosti 11, 2023. Mkataba huo ulioambatana na hafla fupi umefanyika kwenye ukumbi uliopo hoteli ya Tanga Beach jijini Tanga ambapo...