by tff admin | Aug 5, 2023 | News
Azam FC Mabingwa Ligi ya TFF U17 2023 Azam FC imefanikiwa kubeba ubingwa ligi ya TFF Vijana chini ya miaka 17 kwa vilabu msimu wa 2022/2023. Hatua ya Azam FC kutangaza ubingwa huo ni baada ya ushindi wa bao 4-0 dhidi ya timu ya African Sports kwenye mchezo wa raundi...
by tff admin | Aug 4, 2023 | Kilimanjaro Queens, News
Tanzania bingwa CECAFA -U-18 2023 Timu ya taifa ya wanawake wenye umri chini ya miaka 18 imefanikiwa kutwaa ubingwa wa CECAFA U-18 baada ya kuifunga timu ya Uganda goli 1-0 katika mchezo wa mwisho wa kuhitimisha mashindano hayo uliochezwa katika uwanja wa Azam Complex...
by tff admin | Aug 2, 2023 | News
Tanzania Kenya na Uganda Mguu Sawa Kuwa Mwenyeji AFCON 2027 Timu ya Wakaguzi kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) imehitimisha ukaguzi Agosti 2, 2023 Visiwani Zanzibar kwa kufanya kikao cha majumuisho kilichoongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni,...
by tff admin | Jul 28, 2023 | Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL), News
Gets Programm Bingwa WRCL Timu ya Gets Programm imefanikiwa kubeba ubingwa kwenye ligi ya Mabingwa wa mikoa kwa wanawake iliyofanyika jijini Mwanza baada ya kuifunga timu ya Mwanga City kwenye mchezo wa fainali ulio malizika kwa Gets kupata ushindi wa goli 1-0. Mchezo...
by tff admin | Jul 27, 2023 | News, Taifa Stars, Tanzania Bara U20, The Tanzanite, Twiga Stars, Women's Premier League
Tanzania yaichapa Ethiopia goli 2-0 Azam Complex, Chamazi Timu ya Taifa ya Wanawake chini ya umri wa miaka 18 imeendeleza ubabe wake mara baada ya kuichapa timu ya Ethiopia goli 2-0 katika mashindano ya CECAFA U-18 yanayoendelea katika uwanja wa Azam Complex, Chamazi...