by tff admin | Jul 20, 2023 | Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL), News
WRCL Yapamba Moto Mwanza Ligi ya Mabingwa wa mkoa kwa wanawake 2023 inayoendelea jijini Mwanza imeendelea kupamba moto kwa timu zote kutunishiana misuli vilivyo. Ligi hiyo iliyoanza kutimua vumbi Julai 17,2023 imebakiza raundi moja kumalizika katika hatua ya makundi,...
by tff admin | Jul 5, 2023 | Ligi ya Vijana U20, News
Mtibwa Sugar Bingwa TFF U20 Ligi Ligi Kuu ya Vijana wa U-20 imefikia tamati Julai 2, 2023 kwa timu ya Vijana ya Mtibwa Sugar kutwaa ubingwa huo kwa mara ya tano mfululizo. Mtibwa Sugar ilifanikiwa kupata ubingwa huo baada ya kuifunga timu ya Geita Gold bao 1-0 kwenye...
by tff admin | Apr 12, 2023 | News
Wizara Imewazawadia Fountain Gate Academy Milioni 10 Wizara ya Utamaduni, sanaa na Michezo imewazawadia timu ya Fountain Gate Dodoma wachezaji na benchi la ufundi fedha taslim shilingi Milioni 10 ikiwa ni sehemu ya pongezi baada ya timu hiyo kutwaa ubingwa wa Afrika...
by tff admin | Apr 12, 2023 | News, Tanzania Bara U20, The Tanzanite, Twiga Stars
Kocha Shime: Mechi za kirafiki zinatuandaa kuelekea mashindano ya kimataifa Kocha mkuu wa timu za taifa za wanawake Bakari Shime amesema mechi za kirafiki za kalenda ya FIFA zinawaandaa wachezaji kujiweka tayari kuelekea mashindano ya kimataifa. Hayo ameyasema mara...
by tff admin | Apr 12, 2023 | News, Tanzania Bara U20, The Tanzanite, Twiga Stars
Balozi Kingu: Tuna imani na timu zetu za taifa Balozi wa Tanzania nchini Algeria Meja Jenerali Mstaafu Jacob Gideon Kingu amesema serikali bado ina imani kubwa na timu za taifa kufanya vizuri katika michezo ya kimataifa na kuendelea kuliwakilisha taifa vizuri katika...