by tff admin | Apr 5, 2023 | News, Women's Premier League
Fountain Gate Academy Yaanza Vyema Mashindano ya Shule Afrika Timu ya Fountain Gate Dodoma imeanza vyema mashindano ya African Schools Championship huko Durban nchini Afrika Kusini baada ya kupata ushindi mbele ya wenyeji wa mashindano hayo Adendale Technical....
by tff admin | Mar 27, 2023 | News, Taifa Stars
Hemed Morocco:Tumejiandaa kuwapa Furaha watanzania Kocha msaidizi wa timu ya Taifa Hemed Suleiman ‘Morocco’ amesema Taifa Stars imejipanga kuwapa furaha watanzania katika mchezo wa marudiano wa kufuzu AFCON dhidi ya timu ya taifa ya Uganda ‘The...
by tff admin | Mar 27, 2023 | News, Taifa Stars
Rais Samia Akoleza Mzuka Stars, Aongeza Tiketi Elfu Tano na Aahidi Kila Bao 10Milioni Rais wa Jumhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan ameongeza Idadi ya tiketi kutoka elfu mbili (2000) hadi tiketi Elfu Saba (7000) kwa ajili ya kuwagawia mashabiki...
by tff admin | Mar 24, 2023 | News, Taifa Stars
Taifa Stars yabeba alama tatu dhidi ya Uganda Timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imebeba alama tatu dhidi ya timu ya Taifa ya Uganda ‘The Cranes’ baada ya kupata ushindi wa goli 1-0 katika mchezo wa kufuzu AFCON uliopigwa majira ya saa...
by tff admin | Mar 24, 2023 | News, Taifa Stars
Rais Samia aahidi kutoa tiketi 2000 kwa mashabiki wa Taifa Stars Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameahidi kutoa tiketi 2000 kwa mashabiki wa Taifa Stars kwa ajili ya kwenda kushuhudia mchezo wa marudiano wa kufuzu AFCON...