by tff admin | Mar 24, 2023 | News, Taifa Stars
“Tumejiandaa Kuhakikisha Tunamtoa Katika Njia” Samatta Kauli ya Samatta kuelekea mchezo wa kufuzu AFCON Machi 24,2023 Taifa Stars dhidi ya Uganda ikiwa ni sehemu ya maneno yake akielezea namna ambavyo wachezaji walivyojiandaa kuwakabili wapinzani wao....
by tff admin | Mar 24, 2023 | News, Women's Premier League
Simba Queens, Yanga Princess hakuna mbabe Ligi kuu ya wanawake imeendelea leo Machi 22, 2023 Kwa mechi kadhaa kupigwa katika viwanja mbambali huku wababe Simba Queens wakiondoka na alama moja katika dimba la Uhuru baada ya kutoka sare ya goli 1-1 na timu ya Yanga...
by tff admin | Mar 24, 2023 | News, Women's Premier League
Fredy Mbuna: Lengo la ubingwa bado tunalo Kocha msaidizi wa timu ya Yanga Princess Fredy Mbuna ametuma salamu kwa wapinzani wao Simba Queens kuelekea katika ‘derby’ ya kariakoo itayopingwa Machi 22, 2023 katika uwanja wa Uhuru, Dar es salaam akisema lengo...
by tff admin | Mar 24, 2023 | News, Taifa Stars
Serikali kuipa Taifa Stars million 500 ikifuzu Afcon 2023 Serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia Waziri wa utamaduni sanaa na michezo Mheshimiwa Dkt. Pindi Hazara Chana imetoa ahadi ya kutoa shilingi milioni 500 Kwa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars...
by tff admin | Mar 24, 2023 | News
Simba Yatinga Robo Kibabe, Young Africans Nayo Yaifuata Timu za Simba na Young Africans zimefanikiwa kutinga hatua ya robo fainali baada ya timu hizo kupata ushindi kwa katika michezo tofauti iliyopigwa kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa Machi 18 na 19, 2023. Simba...