by tff admin | Mar 24, 2023 | News
Ligi ya Tff Wanawake Mkoa wa Dar es Salaam Yashika Kasi Raundi ya Tatu Michezo ya raundi ya tatu Ligi ya Tff Wanawake mkoa wa Dar es Salaam imeendelea kupigwa kwenye viwanja vya Karume Ilala mwishoni mwa wiki hii kati ya tarehe 17,18 na 19 Machi, 2023 huku timu zote...
by tff admin | Mar 24, 2023 | News
Rais Dkt. Samia Azipongeza Simba na Young Africans Kimataifa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan amezimwagia sifa timu za Simba na Young Africans zinazoshiriki michuano ya Kimataifa ya CAF kwa kutumia vyema fursa aliyotoa kwa vilabu...
by tff admin | Mar 24, 2023 | Coaching, News
Kozi ya Maboresho (Refresher Course) ya CAF A diploma yahitimishwa Mnyanjani,Tanga Kozi ya Maboresho (refresher course) ngazi ya CAF A diploma imehitimishwa rasmi Leo na Rais wa shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia katika kituo cha ufundi cha TFF...
by tff admin | Mar 24, 2023 | Beach Soccer, Coaching, Fantasy, Grassroots-For Kids, Home Videos, Kilimanjaro Queens, Kilimanjaro Stars, Kilimanjaro Warriors, Ligi Daraja la Kwanza(FDL), Ligi Daraja la Pili (SDL), Ligi Kuu Tanzania Bara, Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL), Ligi ya Vijana U20, Men's Beach Soccer, News, Racing, Referees, Serengeti Boys, Taifa Stars, Tanzania Bara U20, The Tanzanite, Twiga Stars, Uncategorized, Videos, Women's Premier League
BMT yatoa tuzo kwa wanamichezo nchini Baraza la Michezo la Taifa (BMT) limetoa tuzo kwa wanamichezo Bora nchini katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. Lengo la tuzo hizo ni kutambua na kuthamini mchango wa wanamichezo wanaofanya...
by tff admin | Mar 24, 2023 | News, Women's Premier League
Yanga Princess Ngoma Ngumu Kulisaka Taji (SWPL) Mechi za Ligi Kuu ya Wanawake Serengeti Lite (SWPL) zimeendelea wiki hii, michezo mitano ikipigwa raundi ya 11 huku mambo yakionekana kuzidi kuwa magumu kwa Yanga Princess katika mbio za kulisaka taji la msimu huu wa...