Serengeti Girls Yabeba Ubingwa UNAF

Serengeti Girls Yabeba Ubingwa UNAF

Serengeti Girls Yabeba Ubingwa UNAF Timu ya Taifa ya wasichana U17 “Serengeti Girls” iliyokuwa inashiriki mashindano ya mataifa ukanda wa kaskazini Kwa wasichana U17 UNAF, imefanikiwa kuipeperusha vyema bendera ya Taifa baada ya kutwaa Ubingwa wa...
Tanzania Kukipiga Robo Fainali na Mwenyeji

Tanzania Kukipiga Robo Fainali na Mwenyeji

Tanzania Kukipiga Robo Fainali na Mwenyeji Timu ya Taifa ya Tanzania ya wasichana chini ya miaka 12 inatarajia Kukipiga Agosti 22, 2024 kwenye hatua ya robo Fainali dhidi ya mwenyeji wa mashindano hayo ya Female Universal Youth Cup, timu kutokea nchini China...
Usiku wa Tuzo za TFF

Usiku wa Tuzo za TFF

Serikali Yaimwagia Sifa TFF kwa Usimamizi Mzuri wa Soka Nchini Serikali imelipongeza Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa kuendelea kusimamia vizuri maendeleo ya Mpira wa Miguu nchini kutokana na mafanikio makubwa yalipatikana chini ya Rais wa TFF Wallace...