by tff admin | Feb 28, 2023 | News
Simba Young Africans Bado Zina Nafasi CAF Michezo kadhaa ya Mashindano ya CAF ilipingwa wikiendi hii huku wawakilishi pekee wa michuano hiyo Simba na Young Africans wakifanikiwa kupata matokeo chanya ambayo yanatoa matumaini ya kusonga mbele endapo watafanikiwa kupata...
by tff admin | Feb 20, 2023 | News
Waziri Dkt.Pindi Chana: TFF inastahili pongezi Waziri wa sanaa utamaduni na michezo Mheshimiwa Balozi Dkt.Pindi Chana Leo Februari 20, 2023 ametembelea kituo cha ufundi cha TFF kilichopo Kigamboni, Dar es salaam ikiwa ni ziara yake ya kwanza tangu ateuliwe kuwa Waziri...
by tff admin | Feb 20, 2023 | News
Young Africans Yavunja Mwiko Kwa Mkapa, Simba Kujiuliza Kimataifa Timu ya Young Africans imefanikiwa kupata alama tatu mbele ya Miamba ya Soka Africa, TP Mazembe kwenye mchezo uliopigwa Februari 19, 2023 katika uwanja wa Mkapa, majira ya saa 1:00 usiku. Young Africans...
by tff admin | Feb 20, 2023 | News
Fountain Gate Academy yatwaa ubingwa CECAFA U-15 Shule ya Fountain Gate Academy (Dodoma) imetwaa ubingwa wa mashindano ya CAF Kwa shule za msingi na sekondari ukanda wa CECAFA kwa upande wa wasichana baada ya kuifunga timu ya Awaro SS ya Ethiopia goli 3-0 katika...
by tff admin | Feb 20, 2023 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Ligi Kuu Bara Ni Zaidi ya Vita Michezo kadhaa ilipingwa wikiendi hii kati ya tarehe 18 na 19 Februari, 2023 ambapo timu zote tatu zilizokuwa nyumbani zilifanikiwa kuibuka na ushindi Idadi sawa ya magoli baada ya timu hizo kupachika bao moja moja. Michezo hiyo...