by tff admin | Dec 5, 2022 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Young Africans Yaishusha Simba Kileleni Timu ya Young Africans imefanikiwa kuwapiga wapiga kwata, Tanzania Prisons bao 1-0 na kurejea kileleni mwa Ligi Kuu ya NBC wakiwaondoa Simba Sport Club iliyokalia usikani kwa huo kwa masaa kadhaa mara baada ya kupata Ushindi...
by tff admin | Dec 5, 2022 | Coaching, News
Geita Gold Yabanwa Mbavu Jiooni Ikiwa Uwanja wa Nyumbani Mchezo uliopigwa Disemba 04, 2022 majira ya saa 10:00 kwenye dimba la Geita, kati ya wenyeji Geita Gold na Mtibwa Sugar ulimalizika kwa timu hizo kutoshana nguvu kwa kufungana bao 2-2. Katika mchezo huo timu...
by tff admin | Dec 3, 2022 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Simba Yamaliza Duru ya Kwanza Kibabe Ugenini Timu ya Simba SC imefanikiwa kumaliza mchezo wake wa 15 katika duru ya kwanza kwa kuvuna ushindi mnono baada ya kuifumua Coastal Union jumla ya mabao 3-0 Wagosi hao wakiwa kwenye uwanja wao wa nyumbani Mkwakwani Tanga....
by tff admin | Dec 3, 2022 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Singida Big Stars Yaweka Rekodi Mpya Dhidi ya Namungo Mchezo kati ya timu ya Singida Big Stars na Namungo FC uliopigwa Disemba 2, 2022 kwenye uwanja wa Liti mjini Singida ulimalizika kwa SBS kuandika rekodi mpya ya ushindi wa zaidi ya mabao mawili baada ya kufanikiwa...
by tff admin | Dec 2, 2022 | Beach Soccer, Men's Beach Soccer, News, Women's Premier League
TFF yaendesha mafunzo ya soka la ufukweni kwa wanawake Shrikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kupitia idara ya ufundi limeendesha mafunzo ya kwanza ya soka la ufukweni kwa wanawake yaliyofanyika Makao Makuu ya TFF, Ilala, Dar es salaam. Mafunzo hayo ya siku mbili...