by tff admin | Nov 30, 2022 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Azam FC Yapata Ushindi Jioni Nyumbani huku Simba Ikitakata Ugenini Timu ya Azam FC imefanikiwa kupata ushindi wa bao 3-2 dhidi ya Coastal Union katika mchezo uliopigwa Novemba 27, 2022 majira ya saa 1:00 usiku kwenye uwanja wake wa Azam Complex Chamazi nje kidogo ya...
by tff admin | Nov 27, 2022 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Ligi Kuu ya NBC Yazidi Kusonga Huku Chungu Tamu Zikitawala Ligi Kuu ya Tanzania Bara ilieendelea Novemba 26, 2022 kwa michezo mitatu kupigwa kwenye viwanja tofauti tofauti ambapo timu ya Namungo ikiiburuza timu ya Dodoma Jiji bao moja kwa sifuri, Singida Big Stars...
by tff admin | Nov 27, 2022 | Coaching, Grassroots-For Kids, News
SHIRIKISHO la Soka la Tanzania (TFF) kupitia kamati yake ya ufundi limeandaa Tamasha la michezola (Grass Roots) kwa Wanafunzi wa Shule za msingi na Sekondari. Tamasha hilo ambalo nilapili limefanyi limefanyika jana wilaya ya Temeke katika Uwanja wa Uhuru Jijini...
by tff admin | Nov 27, 2022 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News, Referees
Semina ya waamuzi yahitimishwa TFF Makamu wa pili wa Rais wa TFF Steven Mnguto amehitimisha rasmi semina ya siku tano ya waamuzi wa FIFA na Elite leo Novemba 25, 2022 katika makao makuu ya TFF Ilala, Dar es salaam Semina hiyo imelenga kupitia na kurekebisha mapungufu...
by tff admin | Nov 23, 2022 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Simba Mbeya City Zatoshana Nguvu Sokoine Mchezo uliozikutanisha Mbeya City dhidi ya Simba SC ulimalizika kwa timu hizo kutoshana nguvu baada ya kutoka sare kwa kufungana bao 1-1. Mchezo huo uliopigwa Novemba 22, 2022 majira ya saa 10:00 jioni kwenye uwanja wa Sokoine...