by tff admin | Nov 22, 2022 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Young Africans Yaishusha Azam FC Kileleni Ligi Kuu Bara Timu ya Young Africans imefanikiwa kurejea kileleni mwa Ligi Kuu ya NBC baada ya kuichapa mabao 2-0 timu ya Dodoma Jiji kwenye mchezo uliopigwa Novemba 22, 2022 majira ya saa 10:00 katika uwanja wa Liti uliopo...
by tff admin | Nov 18, 2022 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Ligi Kuu ya NBC Hakuna Kulala Mechi kadhaa za Ligu Kuu Bara ziliendelea Novemba 17, 2022 ambapo kwa mara ya kwanza timu ya Young Africans ilifanikiwa kuiadhibu Singida Big Stars (SBS) kwa jumala ya mbao 4-1 kwenye mchezo uliopigwa majira ya saa 1:00 usiku kwa Mkapa....
by tff admin | Nov 18, 2022 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Mtibwa Mambo Safi, Prisons Hoi Simba Namungo Rekodi Ile ile Michezo mitatu ya Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara iliendelea kurindima Novemba 16, 2022 katika viwanja vitatu tofauti na kumalizika kwa timu ya Mtibwa kupata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Coastal Union ya...
by tff admin | Nov 16, 2022 | News
TFF Yasaini Mkataba wa Miaka Mitano na UNFPA Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF limesaini mkataba wa mpango kazi wa miaka mitano na shirika la UNFPA (United Nations Population Fund) Novemba 16, 2022 katika hoteli ya Hyatt Regency Jijini Dar es Salaam. Lengo kuu...
by tff admin | Nov 16, 2022 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Azam Yakwea Kileleni, Dodoma Jiji Yavuna Ushindi Mbele ya KMC Ligi Kuu Bara iliendelea Novemba 15, 2022 kwa michezo miwili kupigwa katika viwanja viwili tofauti ambapo mchezo wa saa 10:00 jioni uliwakutanisha KMC dhidi ya Dodoma Jiji kwenye uwanja wa Uhuru uliopo...