by tff admin | Nov 15, 2022 | Ligi ya Vijana U20, News
TFF Yataka Ligi za Wilaya Kuhusisha Zaidi Vijana wa U20 Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limevitaka vyama vya soka nchini vinavyosimamia ligi za Wilaya na Mikoa kuwatumia zaidi wachezaji vijana wenye umri chini ya miaka ishirini (U20) ili kusaidia kuibua ,...
by tff admin | Nov 14, 2022 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Young Africans Yarejea Kileleni Ligi Kuu Bara Timu ya Young Africans imefanikiwa kurejea kileleni mwa Ligi Kuu ya NBC baada ya kupata ushindi wa bao 1-0 kwenye mchezo uliochezwa Novemba13, 2022 katika dimba la CCM Kirumba Jijini Mwanza mnamo majira ya saa 10:00 jioni....
by tff admin | Nov 14, 2022 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Azam, Simba Zatakata Ligi Kuu Bara Ligi Kuu ya NBC Bara imeendelea kwa michezo miwili kupigwa katika viwanja viwili tofauti; mchezo wa saa 10:00 jioni uliwakutanisha Mtibwa Sugar dhidi ya Azam FC huku ule wa pili ukiwa kati ya Ihefu FC na Simba SC majira ya saa 1:00...
by tff admin | Nov 12, 2022 | News
Prisons Yashindwa Kutamba Nyumbani Timu ya Tanzania Prisons imeshindwa kutamva mbele ya Coastal Union (Wagosi wa Kaya) baada ya kukubali kichapo cha mabao 2-0 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa Novemba 10, 2022 majira ya saa 10:00 jioni kwenye uwanja wa...
by tff admin | Nov 12, 2022 | News
Young Africans Yawaduwaza Waarabu Yatinga Makundi Shirikisho Timu ya Young Africans imefanikiwa kutinga hatua ya Makundi kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika baada ya kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya wenyeji Club Africain ya Tunisia katika mchezo wa...