Singida Big Stars Yagoma Kuachia Alama 3 kwa Simba

Singida Big Stars Yagoma Kuachia Alama 3 kwa Simba

Singida Big Stars Yagoma Kuachia Alama 3 kwa Simba Timu ya Singida Big Stars (SBS) ilishuka kumenyana na miamba wa soka nchini Simba Sport Club ya Dar es Salaam kwenye uwanja wake wa nyumbani wa Liti uliopo mjini Singida ambapo timu hizo zilitoka sare kwa kufungana...
Timu ya Taifa ya U20 Kurejea Nyumbani

Timu ya Taifa ya U20 Kurejea Nyumbani

Timu ya Taifa ya U20 Kurejea Nyumbani Timu ya Taifa ya vijna wenye umri chini ya miaka 20 (U20) inatarajia kurejea nchini Tanzania ikitokea Sudani ilikokwenda kushiriki mashindano ya Baraza la Mpira wa Miguu la Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) ya kuwania teketi ya...
Young Africans Hamsini kwa Hamsini Kutinga Makundi CAF

Young Africans Hamsini kwa Hamsini Kutinga Makundi CAF

Young Africans Hamsini kwa Hamsini Kutinga Makundi CAF Kocha Mkuu wa timu ya Young Africans Nasreddine Nabi amesema timu yake bado inanafasi ya kutinga hatua ya makundi katika michuano ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika. Kocha huyo alitoa kauli hiyo alipokuwa...
TFF na Precession Airline Zaingia Mkataba

TFF na Precession Airline Zaingia Mkataba

TFF na Precession Airline Zaingia Mkataba Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeingia makubaliano ya kimkataba na Shirika la Ndege la “Precession Air” wa kuwa Msafirishaji rasmi  wa Kombe la Shirikisho linalojulikana kama (Azam Sports  Federation...