Ligi Kuu ya NBC Yazidi Kunoga

Ligi Kuu ya NBC Yazidi Kunoga

  Ligi Kuu ya NBC Yazidi Kunoga Michezo miwili ya Ligu Kuu Bara imepigwa Oktoba 31, 2022 na kumalizika kwa ushindi wa bao moja moja kwa kila timu iliyofanikiwa kupata matokeo. Mchezo wa kwanza ulichezwa majira ya (10:00 jioni), ukizikutanisha Ruvushooting FC...
Serengeti Girls yazawadiwa Milioni 40 na waziri Mchengerwa

Serengeti Girls yazawadiwa Milioni 40 na waziri Mchengerwa

Serikali yaikabidhi Serengeti Girls milioni 40 Serikali kupitia wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imeizawadia timu ya Taifa ya wanawake U17 Serengeti Girls shilingi milioni 40 kwa kufanikiwa kufika hatua ya robo fainali kwenye Fainali za Kombe la Dunia India 2022....
TUPO TAYARI KUWAKABILI NIGERIA 

TUPO TAYARI KUWAKABILI NIGERIA 

MOROCCO : TUPO TAYARI KUWAKABILI NIGERIA Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya wanaume wenye umri chini ya miaka 23 (U23), Hemed Morocco amesema wapo tayari kuwakabili Nigeria kwenye mchezo wa kusaka tiketi ya kufuzu fainali za mataifa ya Afrika (AFCON) 2023 utakaochezwa...
SERENGETI GIRLS YATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA DUNIA

SERENGETI GIRLS YATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA DUNIA

SERENGETI GIRLS YATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA DUNIA   Timu ya Taifa ya wanawake U17 Serengeti Girls imefuzu hatua ya robo fainali ya Kombe la Dunia 2022, India baada ya kutoka sare ya kufungana bao 1-1 na Canada kwenye mchezo wa mwisho wa Kundi D.   Canada...
Kilimanjaro Warriors kuingia Kambini Kesho

Kilimanjaro Warriors kuingia Kambini Kesho

Kilimanjaro Warriors kuingia Kambini Kesho Kocha mkuu wa kikosi cha timu ya taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 23 Hemedi Suleimani Morocco ametaja kikosi cha wachezaji 27 watakaoingia kambini kesho Octoba 13, 2022 kujiandaa na mchezo wa kufuzu AFCON dhidi ya...