Twiga Stars yatoshana nguvu na Botswana

Twiga Stars yatoshana nguvu na Botswana

Twiga Stars yatoshana nguvu na Botswana Timu ya Taifa ya wanawake ‘Twiga stars’ imetoshana nguvu na timu ya taifa ya Botswana kwa kutoka Sare ya kutokufungana katika michuano ya Hollywoodbets Cosafa women’s championship inayoendelea nchini Afrika...
Twiga Stars yaanza vyema Cosafa

Twiga Stars yaanza vyema Cosafa

Twiga Stars yaanza vyema Cosafa Timu ya Taifa ya wanawake ‘Twiga Stars’ imeanza vyema michuano ya HOLLYWOODBETS COSAFA baada ya kuichakaza Comoro mabao 3-0 katika mchezo wa kundi C uliopigwa katika dimba la Madibaz Port Elizabeth, Afrika Kusini.Bao la...
Shime: Tunakwenda kutetea ubingwa wetu

Shime: Tunakwenda kutetea ubingwa wetu

Shime: Tunakwenda kutetea ubingwa wetu Kocha mkuu wa Timu ya Taifa ya wanawake ‘Twiga Stars’ Bakari Shime amesema kikosi chake kipo tayari kutetea ubingwa wa michuano ya wanawake ukanda wa Afrika Kusini ( Hollywood bets Cosafa women’s championship)...
Waandishi tumieni vizuri mitandao ya kijamii.

Waandishi tumieni vizuri mitandao ya kijamii.

  Rais wa shirikisho la mpira wa miguu Tanzania Wallace Karia amewataka waandishi wa habari za michezo hususani mpira wa miguu kuhakikisha wanatumia mitandao ya kijamii vizuri kwa kuandika habari zenye tija ambazo zitachangia kukuza soka la Tanzania.Hayo...