Simba Queens Kukipiga na She Corporate Fainali

Simba Queens Kukipiga na She Corporate Fainali Timu ya Tanzania Simba Queens FC inatarajia kukipiga dhidi ya She Corporate timu kutoka Uganda kwenye hatua ya fainali michuano inayoendelea hapa nchini ya kufuzu Ligi ya Mabingwa wa Afrika kwa wanawake ukanda wa CECAFA....
Nusu Fainali CECAFA Kupigwa Agosti 24,2022

Nusu Fainali CECAFA Kupigwa Agosti 24,2022

Nusu Fainali CECAFA Kupigwa Agosti 24,2022 Michezo ya hatua ya nusu fainali michuano ya kufuzu Ligi ya Mabingwa Afrika kwa wanawake ukanda wa CECAFA inayoendelea hapa nchini inatarajiwa kupigwa Agosti 24, 2022 kwa timu mbili kutoka kundi A kukiwasha na timu mbili...
Mchezaji wa timu ya AS Kigali WFC Usanase Apiga Hattrick

Mchezaji wa timu ya AS Kigali WFC Usanase Apiga Hattrick

Usanase Zawadi Apiga Hattrick Mchezaji wa timu ya AS Kigali WFC ya nchini Rwanda inayoshiriki michuano ya Kufuzu Ligi ya Mabingwa wanawake ukanda wa CECAFA Usanase Zawadi (JZ 16) amepiga hattrick kwenye mchezo wao dhidi ya Warriors Queens FC ya visiwani Zanzibar....
Simba Queens Yatangulia Nusu Fainali

Simba Queens Yatangulia Nusu Fainali

Simba Queens Yatangulia Nusu Fainali Timu ya Simba Queens kutoka Tanzania inayoshiriki kwenye michuano Kufuzu Ligi ya Mabingwa Afrika kwa wanawake kanda ya CECAFA tayari imekwisha kujihakikishia kutinga mpaka hatua inayofuata kwenye michuano hiyo mara baada ya ushindi...
CECAFA 2022 Kuzinduliwa Rasmi Benjamin Mkapa

CECAFA 2022 Kuzinduliwa Rasmi Benjamin Mkapa

CECAFA 2022 Kuzinduliwa Rasmi Benjamin Mkapa Michuano ya kufuzu Ligi ya Mabingwa Afrika kwa wanawake kanda ya CECAFA (CAF Women’s CL Qualifiers CECAFA Zone) imeanza kutimua vumbi rasmi Agosti 14, 2022 kwa kupigwa mechi mbili kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa. Mechi ya...