Timu Bora ni Golikipa “Mohammed Tajdin”

Timu Bora ni Golikipa “Mohammed Tajdin”

Timu Bora ni Golikipa; Mohammed Tajdin Katibu wa Chama cha Makocha wa Mpira wa miguu Tanzania (TAFCA) Mohammed Tajdin amewataka wahitimu wa kozi ya ukocha wa magolikipa kwenda kuwapika magolikipa bora walio kwenye viwango vya kwenye ligi yetu inayozidi kukuwa na hata...
Tanzania yapoteza nafasi ya kufuzu BAFCON 2022

Tanzania yapoteza nafasi ya kufuzu BAFCON 2022

Tanzania yapoteza nafasi ya kufuzu BAFCON 2022 Timu ya Taifa ya Soka la Ufukweni “Beach Stars” imefanikiwa kuichalaza timu ya Taifa ya Malawi kwa jumla ya mabao 6-5 kwenye mchezo wa marudiano uliopigwa jijini Dar es Salaam katika Fukwe za “Coco” Julai 07, 2022 mnamo...