by tff admin | Jul 18, 2022 | Ligi ya Vijana U20, News
Mtibwa Sugar Bingwa Tena Ligi kuu U-20 Mtibwa sugar imefanikiwa kutetea ubingwa wake wa ligi kuu ya vijana chini ya umri wa miaka 20 kwa msimu huu wa 2021/2022 baada ya kuifunga timu ya Mbeya Kwanza kwa magoli goli 4-1 kwenye mchezo wa fainali uliopigwa Julai 17, 2022...
by tff admin | Jul 14, 2022 | Ligi ya Vijana U20, News
Tambo za makocha kuelekea nusu fainali ya ligi ya vijana U-20 Michezo miwili ya nusu fainali ya ligi kuu ya vijana chini ya umri wa miaka 20 kupigwa Julai 15,2022 katika dimba la Azam Complex Chamazi, michezo hiyo itawakutanisha mabigwa watetezi Mtibwa sukari dhidi ya...
by tff admin | Jul 14, 2022 | Ligi ya Vijana U20, News
VAR kwa mara ya Kwanza Kutumika Ligi Kuu U-20 Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF kwa mara ya kwanza limepanga kutambulisha teknolojia ya VAR kwenye mashindano ya ligi kuu ya vijana chini ya miaka 20 Julai 14, 2022 ambayo yamefikia kwenye hatua ya nusu fainali...
by tff admin | Jul 13, 2022 | News
kozi ya Caf A Diploma yaendelea kwa Mkapa Moduli ya tatu ya kozi ya CAF A diploma imeanza leo katika uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam baada ya moduli ya pili kumalizika mwezi Mei, 2022 na washiriki kuelekea katika mafunzo kwa vitendo katika timu za taifa...
by tff admin | Jul 13, 2022 | News
TFF yaendesha semina ya usajili na uhamisho wa Kimataifa. Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (Tff) limeendesha semina maalum Kwa ajili ya kukumbushia taratibu za Usajili na uhamisho wa Kimataifa (FIFA CONNECT & TMS) Leo Julai 11,2022 katika moja ya kumbi za...