by tff admin | Jun 25, 2022 | Ligi ya Vijana U20, News
Ligi ya Vijana U17 Yaendelea Kurindima Karume Dar. Michezo ya Ligi ya Mkoa wa Dar es Salaam kwa wavulana umri chini ya miaka 17(U17) imeendelea kutimua vumbi kwenye uwanja wa Karume uliopo Makao Makuu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) leo Juni 25, 2022...
by tff admin | Jun 24, 2022 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Simba Mambo Safi, Yaendeleza Ubabe Kwa Mkapa Ligi Kuu ya NBC imeendelea kwa mchezo mmoja kupigwa kwenye dimba la Mkapa ambapo timu ya Simba ilikuwa mwenyeji wa Mtibwa Sugar katika mchezo uliopigwa Juni 23, 2022 majira ya saa 1:00 usiku. Simba ilimaliza mchezo huo...
by tff admin | Jun 23, 2022 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Mechi Mbili za Mwisho Kuamua Nani Kushuka Ligi Kuu NBC Bara! Michezo mitatu ya Ligi Kuu Tanzania Bara ilipigwa Juni 22,2023 kwenye viwanja tofauti tofauti huku ligi hiyo ikiwa bado ipo kwenye kitendawili cha timu ipi itakayoshuka daraja na ipi itakwenda kucheza mchezo...
by tff admin | Jun 20, 2022 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Simba SC Yaendelea Kuweka Heshima Kwa Mkapa Timu ya Simba SC imefanikiwa kulinda heshima yake baada ya kuifumua Mbeya City kwa jumla ya mabao 3-0 katika mchezo uliopigwa Juni 16, 2022 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa majira ya saa 1:00 usiku. Simba walikuwa wa moto...
by tff admin | Jun 20, 2022 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Yanga Yatwaa Ubingwa Ligi Kuu NBC Bila Kupoteza Mechi Timu ya soka ya Young Africans imeendelea kutoruhusu kupoteza mchezo wowote hadi imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC 2021/2022 baada ya kuukosa kwa msimu minne iliyopita. Young Africans imeutwaa ubingwa...