by tff admin | Apr 22, 2022 | News
Derby ya Simba Qeens na Yanga Princess kazi ipo! Watani wa jadi Simba Qeens na Yanga Princess wanatarajia kushuka dimbani siku ya jumapili ya tarehe 24 Aprili, 2022 majira ya sa 10.00 za jioni katika dimba la Uhuru jijini Dar es Salaam ikiwa ni mzunguko wa 15 wa ligi...
by tff admin | Apr 21, 2022 | News
Tff Yaua Ndege Wawili kwa Jiwe Moja Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF kupitia Idara yake ya Ufundi inayoongozwa na Mkurugenzi Oscar Mirambo imewakabidhi vyeti vya kozi ya CAF D Diploma washiriki 51 waliosoma Makao Makuu TFF na wengine 19 kutoka JWTZ Aprili...
by tff admin | Apr 21, 2022 | News
Serengeti Girls Yaendelea Kujifua Kuimaliza Burundi Timu ya Taifa ya wasichana ya U17 ‘Serengeti Girls’ iliyondoka jana kwenda Visiwani Zanzibar imeendelea na mazoezi yake hii leo Aprili 20, 2022 ikiwa ni katika harakati za kujiandaa na mchezo wa marudiano...
by tff admin | Apr 18, 2022 | News
Kikosi cha Serengeti Girls Kurejea Tanzania Leo Wachezaji wa timu ya Serengeti Girls wameianza safari ya kwenda Mjini Bukoba hii leo April 17, 2022 wakitokea Mjini Ngozi Burundi, walikokwenda kucheza mchezo wao dhidi ya timu ya wasichana ya U17 ya Burundi, mchezo...
by tff admin | Apr 18, 2022 | News
Dk Maleko Awamwagia Sifa Serengeti Girls Balozi wa Tanzania Dkt. Jilly Maleko ameipongeza timu ya Taifa ya wasichana wenye umri chini ya miaka 17 baada ya timu hiyo kufanikiwa kuibuka na ushindi wa jumla ya bao 4-0 kwenye mchezo uliopigwa kwenye uwanja wa Urukundo...