Serengeti Girls Yatakata Ugenini

Serengeti Girls Yatakata Ugenini

Serengeti Girls Yatakata Ugenini Timu ya wasichana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Girls imefanikiwa kuibuka na ushindi mnono dhidi ya Burundi baada ya kuiadhibu kwa jumla ya mabao 4-0 katika mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa Urukundo Mjini Ngozi, Aprili 16,...
Serengeti Girls Kamili Kuikabiri Burundi

Serengeti Girls Kamili Kuikabiri Burundi

Serengeti Girls Kamili Kuikabiri Burundi Timu ya Taifa ya wasichana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Girls inatarajia kuondoka hii leo kuelekea Ngozi nchini Burundi tayari kwaajili ya mchezo wake wa hatua ya pili ya Kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Burundi Aprili...
Taifa Stars Sudan Yatoshana nguvu

Taifa Stars Sudan Yatoshana nguvu

Taifa Stars Sudan Ngoma Ngumu Mchezo wa kirafika wa Kimataifa uliopigwa kwa Mkapa, Machi 29, 2022 uliwakutanisha Taifa Stars dhidi ya Sudan na kumalizika kwa timu hizo kutoshana nguvu baada ya kutoka sare ya bao moja kwa moja. Mchezo huo uliopigwa majira ya saa 1:00...
Taifa Stars Kuvaana na Sudan kwa Mkapa

Taifa Stars Kuvaana na Sudan kwa Mkapa

Taifa Stars Kuvaana na Sudan kwa Mkapa Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ inatarajia kushuka dimbani hapo kesho (Machi 29, 2022) kuikabili timu ya Taifa ya Sudan kwenye mchezo utakao pigwa majira ya saa 1:00 usiku katika uwanja wa Benjamin Mkapa, Jijini Dar es...