by tff admin | Jun 1, 2024 | News, Twiga Stars
Kocha Shime Aridhishwa na Uwezo wa Nyota Wake Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Wanawake “Twiga Stars” Bakari Shime ameweka wazi kirudhishwa na Uwezo walioonyesha nyota wake kwenye mechi mbili za kimataifa za kirafiki zioizochezwa mwishoni mwa mwezi Mei hapa...
by tff admin | May 24, 2024 | News, Twiga Stars
Kikosi cha Timu ya Taifa (Twiga Stars) Kambini Kwa Michezo Miwili ya Kirafiki Kikosi cha wachezaji 22 wa timu ya Taifa (Twiga Stars) kimeingia kambini Mei 24, 2024 kujiandaa na mechi za kirafiki kwa mujibu wa kalenda ya FIFA inayo tarajiwa kucheza mwishoni mwa mwezi...
by tff admin | May 24, 2024 | Ligi ya Vijana U20, News
Dodoma jiji Kuifuata Kagera Sugar Fainali U20 Timu ya vijana U20 ya Dodoma jiji inayoshiriki ligi kuu (NBC U20 Premier League) imefanikiwa kutinga hatua ya fainali baada ya kupata ushindi kwenye mchezo wa nusu fainali dhidi ya Azam FC Mei 23, 2024 uwanja wa Azam...
by tff admin | May 22, 2024 | Ligi ya Vijana U20, News
Kagera Sugar Yatangulia Fainali “NBC U20 PL” Timu ya vijana U20 ya Kagera Sugar inayo shiriki fainali za Ligi kuu ya NBC kwa vijana chini ya miaka 20 imefanikiwa kuonyesha makali yake kwa kutangulia hatua ya fainali baada ya kupata ushindi kwenye mchezo wa...
by tff admin | Apr 30, 2024 | News
Young Africans, Tabora United Kukipiga Azam Complex Chamazi Mchezo wa tatu hatua ya robo fainali mashindano ya CRDB Bank Federation Cup inatarajia kukutanisha miamba miwili ya ligi kuu ya NBC Young Africans dhidi ya Tabora United, mchezo utakao pigwa uwanja wa Azam...