by tff admin | Apr 28, 2024 | News
Jasho Lamwagika Msimu Mwingine wa Vijana Msimu mwingine Kwa vijana umeanza Kwa Kasi huku TFF ikiendesha Ligi mbili za (U17 Premier league na U17 Championship league 2023-2024), zikiwa ni ligi mbili zinazohusisha takribani timu 28 za vijana kutoka Tanzania bara. Timu...
by tff admin | Apr 25, 2024 | News, Women's Premier League
Simba Queens yatamba mbele ya Yanga Princess Ligi kuu ya wanawake imeendelea leo Aprili 25, 2023 Kwa mechi kadhaa kupigwa katika viwanja mbambali huku wababe Simba Queens wakibeba alama tatu katika dimba la Azam Complex, Chamazi baada ya kuifunga timu ya Yanga...
by tff admin | Apr 14, 2024 | Grassroots-For Kids, News
Uzinduzi rasmi wa programu ya mpira wa miguu kwa shule (Football For Schools- F4S) utafanyika Jumatatu, 15 Aprili Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Shughuli ya uzinduzi wa programu hiyo inayoendeshwa na Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) na...
by tff admin | Apr 2, 2024 | News
TFF, CRDB Zasaini Mkataba “CRDB Federation Cup” Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF limeingia makubaliano na benki ya biashara (CRDB Bank) Kwa Kusaini mkataba wa miaka mitatu unaogharimu shilingi Bilioni 3.76 za Tanzania unaoupatia ridhaa benki hiyo...
by tff admin | Apr 2, 2024 | News
Simba, Young Africans Bado Zinanafasi Kutinga Nusu Fainali CAFCL Wawakilishi wa Tanzania kwenye Michuano ya Klabu Bingwa Afrika Simba SC na Young Africans SC, bado wananafasi ya kusonga mbele kwenye michuano hiyo mikubwa Barani Afrika kwa ngazi ya vilabu licha ya...