by tff admin | Mar 24, 2024 | News, Taifa Stars
Stars” Hesabu Kali Dhidi ya Mongolia Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” kilichopo Azerbaijan kwaajili ya michezo miwili ya kirafiki “FIFA Series 2024” kimeendelea na hesabu za kuuendea mchezo wake wa pili na wa mwisho...
by tff admin | Mar 20, 2024 | Beach Soccer, News
Timu ya Taifa ya Soka la Ufukweni Kujipanga Kwa BAFCON Timu ya Taifa ya Soka la Ufukweni iliyokuwa ikishiriki mashindano ya COSAFA Durban Afrika Kusini imehamishia nguvu na akili kwenye mashindano ya BAFCON. Timu hiyo ya Taifa ilicheza na kupoteza mechi zake zote za...
by tff admin | Mar 20, 2024 | News, Taifa Stars
Mashindano ya FIFA Series ni Faida kwa Stars Kauli ya Mkurugenzi wa Sheria, habari na Masoko TFF Boniface Wambura kufuatia mashindano mapya ” FIFA Series 2024″ yaliyoanzishwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani FIFA Kwa lengo la kukutanisha timu za...
by tff admin | Mar 19, 2024 | Beach Soccer, News
Pawasa: “Timu ya Taifa ya Soka la Ufukweni Nafasi Bado Ipo” Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Soka la Ufukweni Boniface Pawasa na wachezaji wa timu ya hiyo kwa pamoja wamesema kuwa Tanzania bado inanafasi ya kusonga mbele katika michuano COSAFA inayoendelea...
by tff admin | Mar 19, 2024 | News, The Tanzanite
Tanzanite Yarejea Nyumbani Timu ya Taifa ya Wanawake U20 “Tanzanite” imewasili nchini Machi 18, 2024 ikitokea kwenye mashindano ya All African Games yaliyokuwa yakifanyika Accra nchini Ghana. Tanzanite iliyoondoka hapa nchini tangu Machi 9, 2024 ilicheza...