Waamuzi RCL Kunolewa Makao Makuu TFF

Waamuzi RCL Kunolewa Makao Makuu TFF

Waamuzi RCL Kunolewa Makao Makuu TFF   Kozi ya siku tano kwa waamuzi wa ligi ya mabingwa wa mikoa (RCL 2024) inaendelea makao makuu ya Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF. Kozi hiyo inayojumuisha washiriki 107 kutoka mikoa mbalimbali Tanzania, imeanza Machi...
Twiga Stars Kamili Kubakisha Alama Tatu Nyumbani

Twiga Stars Kamili Kubakisha Alama Tatu Nyumbani

                                     Twiga Stars Kamili Kubakisha Alama Tatu Nyumbani Timu ya Taifa ya wanawake “Twiga Stars” iliyokwenye orodha ya timu nane Afrika zilizo salia katika kusaka tiketi ya kufuzu michuano ya Olimpiki, Februari 23, 2024...
Serengeti Girls ni Swala la Muda

Serengeti Girls ni Swala la Muda

Serengeti Girls ni Swala la Muda Timu ya Taifa ya wanawake U17 “Serengeti Girls ” iliyokambini kujiandaa na mchezo wa kufuzu kombe la Dunia dhidi ya timu ya Taifa ya Zambia unaotarajiwa kuchezwa Februari 3, 2024 imeendelea na mazoezi ya utimamu wa mwili...