Taifa stars kuanza na Morocco AFCON 2024

Taifa stars kuanza na Morocco AFCON 2024

Taifa stars kuanza na Morocco AFCON 2024 Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars kesho Januari 17, 2024  itatupa karata yake ya kwanza kwenye michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON) dhidi ya Morocco katika uwanja wa Stade Laurent Pokou, Ivory Coast. Mchezo huo...
Raundi ya Pili TWPL Imemalizika

Raundi ya Pili TWPL Imemalizika

Raundi ya Pili TWPL Imemalizika Michezo mitano ya ligi kuu Tanzania imepigwa kati ya Disemba 27 na 28, 2023 na kukamilisha raundi ya pili msimu huu, huku timu ya Simba Queens ikiwa kileleni mwa msimamo wa ligi kwa faida ya utofauti wa magoli. Matokeo ya ushindi wa...