by tff admin | Dec 10, 2023 | News, Women's Premier League
JKT Queens, Simba Queens Fainali Ngao ya Jamii Michezo miwili ya nusu fainali ya Ngao ya Jamii 2023 kwa wanawake Imemalizika kwa timu ya JKT Queens na Simba Queens kufuzu hatua ya fainali baada ya ushindi waliopata kwenye hatua ya nusu fainali. Michezo hiyo miwili...
by tff admin | Dec 10, 2023 | Kilimanjaro Queens, Kilimanjaro Stars, Kilimanjaro Warriors, News, Serengeti Boys, Taifa Stars, Tanzania Bara U20, The Tanzanite, Twiga Stars
Waziri Ndumbaro Amesisitiza Hamasa Timu za Taifa Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Mh. Damas Ndumbaro ametoa rai kwa watanzania wote kuunganan na Serikali pamoja na TFF katika kuzisapoti timu za Taifa hasa zile zilizo fuzu kushiriki michuano ya Afrika (AFCON na...
by tff admin | Dec 10, 2023 | News
Mkutano Mkuu wa 10 wa bodi ya Ligi Kuu Tanzania umefanyika Disemba 8, 2023 kwenye ukumbi wa mikutano wa bodi hiyo na Mgeni Rasmi akiwa ni Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo nchini Mh. Damas Ndumbaro. Mkutano huo ulihudhuriwa na viongozi mbali mbali wa soka akiwepo...
by tff admin | Dec 6, 2023 | News, Twiga Stars
Twiga Stars yafuzu WAFCON 2024 Timu ya Taifa ya wanawake ‘Twiga Stars’ imefanikiwa kufuzu kushiriki Fainali za Kombe la Mataifa Afrika kwa wanawake (WAFCON) zitakazofanyika mwakani nchini Morocco baada ya kupata ushindi wa jumla ya magoli 3-2 dhidi ya timu...
by tff admin | Nov 21, 2023 | News
Kocha Shime: Tumejifunza mengi, tutajipanga wakati mwingine Kocha mkuu wa timu ya wanawake chini ya miaka 20 ‘Tanzanite Queens’ Bakari Shime amesema licha ya kupoteza katika mchezo wa marudiano wa kufuzu kombe la Dunia dhidi ya Nigeria wamejifunza na...