Afisa mtendaji mkuu wa bodi ya Ligi Boniface Wambura ametangaza makundi ya Ligi Daraja la Kwanza msimu wa 2019/2020.

Makundi hayo yanajumuisha timu 24 zilizogawanywa katika Makundi mawili ya timu 12 kila moja.

Kundi A
• African Lyon,Dar es salaam
• Ashanti United,Dar es salaam
• Boma FC,Mbeya
• Dodoma FC,Dodoma
• Friends Rangers FC,Dar es salaam
• Ihefu FC,Mbeya
• Majimaji FC,Ruvuma
• Mbeya Kwanza FC,Mbeya
• Mlale FC,Ruvuma
• Mufindi United FC,Iringa
• Njombe Mji FC,Njombe
• Reha FC,Dar es salaam

Kundi B
• Arusha FC,Arusha
• Geita Gold FC,Geita
• Gipco FC,Geita
• Green Warriors,Dar es salaam
• Gwambina FC,Mwanza
• Mashujaa FC,Kigoma
• Mawenzi FC,Morogoro
• Pamba SC,Mwanza
• Rhino Rangers FC,Tabora
• Sahare All Stars FC,Tanga
• Stand United FC ,Shinyanga
• Transit Camp FC,Dar es salaam

Ligi Daraja la Kwanza inatarajia kuanza Septemba 14,2019.