by tff admin | Aug 4, 2023 | Kilimanjaro Queens, News
Tanzania bingwa CECAFA -U-18 2023 Timu ya taifa ya wanawake wenye umri chini ya miaka 18 imefanikiwa kutwaa ubingwa wa CECAFA U-18 baada ya kuifunga timu ya Uganda goli 1-0 katika mchezo wa mwisho wa kuhitimisha mashindano hayo uliochezwa katika uwanja wa Azam Complex...
by tff admin | Aug 2, 2023 | News
Tanzania Kenya na Uganda Mguu Sawa Kuwa Mwenyeji AFCON 2027 Timu ya Wakaguzi kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) imehitimisha ukaguzi Agosti 2, 2023 Visiwani Zanzibar kwa kufanya kikao cha majumuisho kilichoongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni,...
by tff admin | Jul 28, 2023 | Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL), News
Gets Programm Bingwa WRCL Timu ya Gets Programm imefanikiwa kubeba ubingwa kwenye ligi ya Mabingwa wa mikoa kwa wanawake iliyofanyika jijini Mwanza baada ya kuifunga timu ya Mwanga City kwenye mchezo wa fainali ulio malizika kwa Gets kupata ushindi wa goli 1-0. Mchezo...
by tff admin | Jul 27, 2023 | News, Taifa Stars, Tanzania Bara U20, The Tanzanite, Twiga Stars, Women's Premier League
Tanzania yaichapa Ethiopia goli 2-0 Azam Complex, Chamazi Timu ya Taifa ya Wanawake chini ya umri wa miaka 18 imeendeleza ubabe wake mara baada ya kuichapa timu ya Ethiopia goli 2-0 katika mashindano ya CECAFA U-18 yanayoendelea katika uwanja wa Azam Complex, Chamazi...
by tff admin | Jul 25, 2023 | News
Tanzania yaanza vyema mashindano ya CECAFA U-18 Timu ya Taifa ya wanawake chini umri wa miaka 18 imeanza vyema mashindano ya CECAFA U-18 baada ya kupata ushindi wa goli 3-0 dhidi ya timu ya Burundi katika mchezo wa ufunguzi uliochezwa leo Julai 25 , 2023 katika uwanja...
by tff admin | Jul 25, 2023 | Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL), News
Fainali Mwanga City Dhidi ya Gets Programm WRCL Ligi ya Mabingwa wa Mikoa kwa Wanawake inayoendelea kutimua vumbi jijini Mwanza imemaliza hatua ya nusu fainali ambapo timu nne zilizofuzu kwenye hatua hiyo zote zimeishacheza mechi zake, huku washindi wa michezo miwili...