by tff admin | Jul 25, 2023 | Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL), News
Mashindano ya CECAFA U-18 kuanza kesho Julai 25, 2023 Mashindano ya CECAFA kwa wanawake wenye umri chini ya miaka 18 yataanza rasmi kesho Julai 25, 2023 katika uwanja wa Azam Complex, Chamazi ambapo Tanzania itatupa karata yake ya kwanza dhidi ya timu ya Burundi...
by tff admin | Jul 24, 2023 | Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL), News
Timu Nne WRCL Zapanda Daraja Ligi ya Mabingwa wa Mikoa kwa Wanawake inayoendelea jijini Mwanza imefikia hatua ya nusu fainali ambapo timu nne zilizofuzu hatua hiyo zote zimefanikiwa kuvuka daraja, hivyo msimu ujao zitakwenda kushiriki ligi daraja la kwanza (Women...
by tff admin | Jul 22, 2023 | Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL), News
Robo Fainali Ngoma Ngumu WRCL Ligi ya Mabingwa wa Mkoa kwa Wanawake 2023 inatarajia kuendelea kwa kupigwa michezo ya robo fainali Julai 23, 2023 kwenye uwanja wa Nyamagana. Hatua hiyo imefikia baada ya mechi za hatua ya makundi kumalizika ambapo timu 8 pekee...
by tff admin | Jul 20, 2023 | Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL), News
WRCL Yapamba Moto Mwanza Ligi ya Mabingwa wa mkoa kwa wanawake 2023 inayoendelea jijini Mwanza imeendelea kupamba moto kwa timu zote kutunishiana misuli vilivyo. Ligi hiyo iliyoanza kutimua vumbi Julai 17,2023 imebakiza raundi moja kumalizika katika hatua ya makundi,...
by tff admin | Jul 5, 2023 | Ligi ya Vijana U20, News
Mtibwa Sugar Bingwa TFF U20 Ligi Ligi Kuu ya Vijana wa U-20 imefikia tamati Julai 2, 2023 kwa timu ya Vijana ya Mtibwa Sugar kutwaa ubingwa huo kwa mara ya tano mfululizo. Mtibwa Sugar ilifanikiwa kupata ubingwa huo baada ya kuifunga timu ya Geita Gold bao 1-0 kwenye...
by tff admin | Apr 12, 2023 | News
Wizara Imewazawadia Fountain Gate Academy Milioni 10 Wizara ya Utamaduni, sanaa na Michezo imewazawadia timu ya Fountain Gate Dodoma wachezaji na benchi la ufundi fedha taslim shilingi Milioni 10 ikiwa ni sehemu ya pongezi baada ya timu hiyo kutwaa ubingwa wa Afrika...