Usiku wa Tuzo za TFF

Usiku wa Tuzo za TFF

Serikali Yaimwagia Sifa TFF kwa Usimamizi Mzuri wa Soka Nchini Serikali imelipongeza Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa kuendelea kusimamia vizuri maendeleo ya Mpira wa Miguu nchini kutokana na mafanikio makubwa yalipatikana chini ya Rais wa TFF Wallace...
Ziara ya Naibu Katibu mkuu ofisi za TFF Kigamboni

Ziara ya Naibu Katibu mkuu ofisi za TFF Kigamboni

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo Afanya Ziara TFF Kigamboni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo Suleiman Serera amefanya Ziara ya kitembelea kituo cha ufundi cha TFF, kilichopo Kigamboni Dar es salaam Julai 25, 2024 ambapo...
Twiga Stars Mabingwa Tunis Women’s Cup

Twiga Stars Mabingwa Tunis Women’s Cup

Twiga Stars Mabingwa Tunis Women’s Cup Timu ya Taifa ya Wanawake “Twiga Stars” imetwaa Ubingwa mashindano ya Tunis Women’s Cup 2024 yaliyofanyika nchini Tunisia yakishirikisha nchi za Tanzania, Botswana na wenyeji Tunisia. Twiga Stars ilifikia...
Simba Queens Yakabidhiwa Kombe TWPL

Simba Queens Yakabidhiwa Kombe TWPL

Simba Queens Yakabidhiwa Kombe TWPL   Mabingwa wapya Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWP) Simba Queens wamekabidhiwa kombe baada ya mchezo wao dhidi ya Geita Queens Juni 14, 2024 uliochezwa uwanja wa Azam Complex Chamazi. Kwenye mchezo huo Simba Queens waliibuka...
Stars Yawasili Dar na Kupokea Kitita cha Goli la Mama

Stars Yawasili Dar na Kupokea Kitita cha Goli la Mama

Stars Yawasili Dar na Kupokea Kitita cha Goli la Mama Timu ya Taifa ya Tanzania ” Taifa Stars” imerejea nchini Juni 13, 2024 na kukabidhiwa kitita cha milioni Kumi (10,000,000/=) za Goli la Mama mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...