TUPO TAYARI KUWAKABILI NIGERIA 

TUPO TAYARI KUWAKABILI NIGERIA 

MOROCCO : TUPO TAYARI KUWAKABILI NIGERIA Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya wanaume wenye umri chini ya miaka 23 (U23), Hemed Morocco amesema wapo tayari kuwakabili Nigeria kwenye mchezo wa kusaka tiketi ya kufuzu fainali za mataifa ya Afrika (AFCON) 2023 utakaochezwa...
SERENGETI GIRLS YATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA DUNIA

SERENGETI GIRLS YATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA DUNIA

SERENGETI GIRLS YATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA DUNIA   Timu ya Taifa ya wanawake U17 Serengeti Girls imefuzu hatua ya robo fainali ya Kombe la Dunia 2022, India baada ya kutoka sare ya kufungana bao 1-1 na Canada kwenye mchezo wa mwisho wa Kundi D.   Canada...
Kilimanjaro Warriors kuingia Kambini Kesho

Kilimanjaro Warriors kuingia Kambini Kesho

Kilimanjaro Warriors kuingia Kambini Kesho Kocha mkuu wa kikosi cha timu ya taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 23 Hemedi Suleimani Morocco ametaja kikosi cha wachezaji 27 watakaoingia kambini kesho Octoba 13, 2022 kujiandaa na mchezo wa kufuzu AFCON dhidi ya...
TWIGA STARS WASHINDI WA TATU COSAFA

TWIGA STARS WASHINDI WA TATU COSAFA

TWIGA STARS WASHINDI WA TATU COSAFA Timu ya Taifa ya wanawake “Twiga Stars” imefanikiwa kunyakuwa nafasi ya tatu katika michuano ya Wanawake ya Hollwoodbets Cosafa iliyomalizika leo Port Elizabeth Afrika Kusini. Twiga Stars imeshika nafasi hiyo baada ya kuifunga timu...