by tff admin | Jul 29, 2022 | Ligi Daraja la Kwanza(FDL), Ligi Daraja la Pili (SDL), Ligi Kuu Tanzania Bara, Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL), Ligi ya Vijana U20, News, Referees, Women's Premier League
Semina ya Waamuzi wa Fifa na Elite Yahitimishwa. Makamu wa pili wa Rais wa TFF Steven Mnguto amehitimisha rasmi semina ya siku tano ya waamuzi wa FIFA na Elite leo Julai 29, 2022 katika uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar es Salaam. Semina hiyo yenye mjumuisho wa...
by tff admin | Jul 29, 2022 | Coaching, News
CAF C Diploma Imefunguliwa Makao Makuu TFF Kozi ya walimu wa mpira wa miguu ngazi ya CAF C Diploma inayojumuisha washiriki 45 imefunguliwa na Makamu wa kwanza wa Rais TFF Athumani Nyamlani Julai 29, 2022 makao makuu ya Shirikisho la mpira wa Miguu Tanzania TFF....
by tff admin | Jul 29, 2022 | News, Taifa Stars
Stars tayari kwa Mchezo wa Marudiano Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars ipo tayari kukipiga kwenye mchezo wa marudiano dhidi ya Somalia, baada ya kuanza kwa ushindi kwenye mchezo wa awali uliochezwa Julai 23, 2022 kwenye dimba la Benjamin Mkapa. Stars inatarajia...
by tff admin | Jul 29, 2022 | Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL), News, The Tanzanite, Twiga Stars, Women's Premier League
Serengeti Girls Yaingia Kambini Visiwani Zanzibar Kikosi cha timu ya Taifa ya wasichana chini ya umri wa miaka 17 Serengeti Girls kinachojumuisha takribani wachezaji 32 kimeondoka hii leo Julai 25, 2022 kuelekea visiwani Zanzibar kwaajili ya kujiandaa na maandalizi ya...
by tff admin | Jul 18, 2022 | Ligi ya Vijana U20, News
Mtibwa Sugar Bingwa Tena Ligi kuu U-20 Mtibwa sugar imefanikiwa kutetea ubingwa wake wa ligi kuu ya vijana chini ya umri wa miaka 20 kwa msimu huu wa 2021/2022 baada ya kuifunga timu ya Mbeya Kwanza kwa magoli goli 4-1 kwenye mchezo wa fainali uliopigwa Julai 17, 2022...
by tff admin | Jul 14, 2022 | Ligi ya Vijana U20, News
Tambo za makocha kuelekea nusu fainali ya ligi ya vijana U-20 Michezo miwili ya nusu fainali ya ligi kuu ya vijana chini ya umri wa miaka 20 kupigwa Julai 15,2022 katika dimba la Azam Complex Chamazi, michezo hiyo itawakutanisha mabigwa watetezi Mtibwa sukari dhidi ya...