by tff admin | Jun 16, 2024 | News, Women's Premier League
Simba Queens Yakabidhiwa Kombe TWPL Mabingwa wapya Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWP) Simba Queens wamekabidhiwa kombe baada ya mchezo wao dhidi ya Geita Queens Juni 14, 2024 uliochezwa uwanja wa Azam Complex Chamazi. Kwenye mchezo huo Simba Queens waliibuka...
by tff admin | Jun 16, 2024 | News
Timu nane zatinga hatua ya robo fainali Ligi Daraja la Kwanza Wanawake Timu nane kati ya Kumi na sita zilizokuwa zinashiriki Ligi ya wanawake Daraja la Kwanza zimefanikiwa kutinga hatua ya robo fainali katika ligi hiyo inayoendelea kutimua vumbi katika uwanja wa...
by tff admin | Jun 16, 2024 | News
Stars Yawasili Dar na Kupokea Kitita cha Goli la Mama Timu ya Taifa ya Tanzania ” Taifa Stars” imerejea nchini Juni 13, 2024 na kukabidhiwa kitita cha milioni Kumi (10,000,000/=) za Goli la Mama mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...
by tff admin | Jun 1, 2024 | News, Twiga Stars
Kocha Shime Aridhishwa na Uwezo wa Nyota Wake Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Wanawake “Twiga Stars” Bakari Shime ameweka wazi kirudhishwa na Uwezo walioonyesha nyota wake kwenye mechi mbili za kimataifa za kirafiki zioizochezwa mwishoni mwa mwezi Mei hapa...
by tff admin | May 24, 2024 | News, Twiga Stars
Kikosi cha Timu ya Taifa (Twiga Stars) Kambini Kwa Michezo Miwili ya Kirafiki Kikosi cha wachezaji 22 wa timu ya Taifa (Twiga Stars) kimeingia kambini Mei 24, 2024 kujiandaa na mechi za kirafiki kwa mujibu wa kalenda ya FIFA inayo tarajiwa kucheza mwishoni mwa mwezi...
by tff admin | May 24, 2024 | Ligi ya Vijana U20, News
Dodoma jiji Kuifuata Kagera Sugar Fainali U20 Timu ya vijana U20 ya Dodoma jiji inayoshiriki ligi kuu (NBC U20 Premier League) imefanikiwa kutinga hatua ya fainali baada ya kupata ushindi kwenye mchezo wa nusu fainali dhidi ya Azam FC Mei 23, 2024 uwanja wa Azam...